Unazuiaje konokono na wadudu wasioeleweka kwenye kuta za nyumba pavement etc

Unazuiaje konokono na wadudu wasioeleweka kwenye kuta za nyumba pavement etc

Uhakika Bro

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2022
Posts
3,644
Reaction score
4,315
Wanachafua ukuta tu.

Tuwafanyeje?

Binafsi nimeamua nimewapiga picha na kuwapost hadharani waaibike sasa😒.

Sio dawa?

Dawa yao nn.....

20230119_113035.jpg
 
Attachments

  • 20230119_113615.jpg
    20230119_113615.jpg
    1.2 MB · Views: 20
  • 20230119_113001.jpg
    20230119_113001.jpg
    1 MB · Views: 20
Sasa hapo kuna msusa ambapo ndio makazi yao ya kudumu unatarajia nini?
 
Hao ni fursa Zambia kilo moja ni pesa hiyo au Congo maana huko ni mboga watu wanalia ugali na wali
 
Umejenga Serengeti mkuu?[emoji276]
Ni adha iliyopo nilipopanga, sasa ndo najiandaa ili ntakapojenga nikomeshe wadudu kama hawa.

Maana nna mpango wa kuwa na viukoka na kagarden ka kuzugia sasa hawa wataharibu show nnavyowaona
 
Ni adha iliyopo nilipopanga, sasa ndo najiandaa ili ntakapojenga nikomeshe wadudu kama hawa.

Maana nna mpango wa kuwa na viukoka na kagarden ka kuzugia sasa hawa wataharibu show nnavyowaona
Ukoka unaleta mbu sana .panda maua yanayofukuza wadudu.panda mint.panda snake flowers nyoka hawayapend.panda ndimu panda limao mbilimb.mvuje
 
Ukoka unaleta mbu sana .panda maua yanayofukuza wadudu.panda mint.panda snake flowers nyoka hawayapend.panda ndimu panda limao mbilimb.mvuje
Asante sana hili ninalichukua

Shukrani umenihabarisha🤝
 
Oookay, hii ya kumuua mmoja mmoja

Ningepata na ya kuzuia na kufukuza pia itafaa zaidi maana Marasta tena hatupendi kuua viumbe wa Mungu tena kwa mateso ndo kabsaaa😑
 
Back
Top Bottom