beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Malalamiko 75 yalipokelewa TAKUKURU kati ya Januari - Machi 2022. Kati ya Malalamiko hayo, 49 yalihusu Rushwa na 26 hayakuhusiana na Rushwa
Idara mbalimbali zilizolalamikiwa ni pamoja na Afya, Elimu, Ardhi, Watendaji wa Kata, TANESCO, Mahakama, Bandari, Mamlaka ya Mapato (TRA), Watu Binafsi, DAWASA, Polisi, PSSF na NHIF
Wewe ni Mkazi wa Temeke, Dar es Salaam? Umewahi kuomba Rushwa ulipohitaji Huduma katika Idara fulani?