Unbeaten run continues

Ligi ya ndani ni rahisi zaidi jiesiemu kutembeza bahasha ila kimataifa ni ngumu kugawa bahasha za kaki.
ndo maana kimataifa wanapasuka mwanzo mwisho.
Simba mliwekewa Shingapi kwenye bahasha zifuatazo:?
[emoji117] Ngao ya Jamii mbili zilizopita
[emoji117] Mechi tatu za ligi
[emoji117]Nusu Fainali FA
 
Ligi ya ndani ni rahisi zaidi jiesiemu kutembeza bahasha ila kimataifa ni ngumu kugawa bahasha za kaki.
ndo maana kimataifa wanapasuka mwanzo mwisho.
Kwahiyo na nyinyi hiyo bahasha mshatembezewa?? Na mshapokea kias wewe Kolowizard.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…