Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Nov 28, 2022 #41 Cashman said: Kicheko hiki kumbe na wanawake mpo kwenye mijadala hii? Click to expand... Kwani unafikiri wenyewe sii watu🤨
Cashman said: Kicheko hiki kumbe na wanawake mpo kwenye mijadala hii? Click to expand... Kwani unafikiri wenyewe sii watu🤨
P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 11,682 Reaction score 14,241 Nov 28, 2022 #42 Citizen B said: Yanga havuki makundi...akivuka nakupa code za moyo wangu wa betri uniue Click to expand... Itakuwa roho mbaya kufurahia kukuua kutokana na ushabiki, ikiwa vile tunataka uwe balozi wa kuhadithia makubwa ya Yanga.
Citizen B said: Yanga havuki makundi...akivuka nakupa code za moyo wangu wa betri uniue Click to expand... Itakuwa roho mbaya kufurahia kukuua kutokana na ushabiki, ikiwa vile tunataka uwe balozi wa kuhadithia makubwa ya Yanga.
I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,553 Nov 28, 2022 #43 Swali hilo kawaulize club africain ya Tunisia... Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app