Katika ulimwengu huu wa utandawazi uchakachuaji unazidi kushika kasi, pole ila hauko peke yako kila siku wapo wanaolia kwa kusalitiwa.
Tulia vuta pumzi na anza upya, huyo hakuwa sehemu ya ubavu wako.
mapenz wewe mapenzi yoyoh mamaaah sheri wangu! Asilimia kubwa ya nyimbo na tenzi nzuri n za mapenzi tena za kumsifia mwanamke ka huamin nenda kamsome bwn suleiman kunako bible
Navyo kusoma kwenye thread hii kama vile wewe bado sana mpaa uelewe nini mana ya love, navyo fahamu mimi love is a commitment to growth, happiness, and fulfillment of one another sasa hapo naona kama umekimbia kabla ya kufika huko.