unconditionally bae vs zigo remix

isho_boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
2,145
Reaction score
1,892
Kwenye izi ngoma mafundi wawili kutoka kwenye kiwanda cha bongo flava walishirikishwa so ngoma ipi Kali zaidi....karibun, mapovu no..!!
 
ki ukwel hzo nyimbo zote ni nzur sana kwangu..... ile umekulaaaaaaaaaaaaa kwa macho.......
af huku unasikia yoooooooo ile ya ali kiba kwa kwel hapo wametendea haki collaboration zao.
 
zigo60% unconditional bae 40%..
kwa mtazamo wangu

kiba kashirikishwa ila kaenda kuharibu ngoma ya watu na yooo yooo...
mond kashirikishwa halafu haitendea haki..
shigidii shigideeee[emoji119]

jifunzeni kutofautisha..
 
Shigidii Shigidee........... hatari sana (kwa sauti ya kipozeo)
 
Hiyo unconditionally bae nikianzaga kuichek wala siimaliz so ladha yake.hata siifahamu vyema ila zigo remix iko poa na original nayo iko poa
 
Napendaga tu pale..Simbaaa...ana rangi flan ya kimanga
Jmn acheni kuwa watu wamchezomchezo kumweka Dai level moja na kiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…