Uncovered- The Mafisadi Maker aramba 17 billion nyingine!



Once again you nailed it. Na haihitaji mtu ana akili sanaaa akaona mwelekeo ukoje. Najua kwa kubornga sisi ndio wenyewe lakini hii haijakaa sawa na nashukuru na wewe umeiona hii

Anyway bado ni adhuhuri sasa tusubiri mpaka Magharibi tutajua mwelekeo ukoje kwenye hili labda maelezo ya kueleweka yanaweza kuletwa kabla Ishaa haijaingia

 

Mtoto wa Bakhressa (Abubakar) anazungusha Dar na ride kama hii ambayo ni paundi LAKI MOJA NA SITINI ELFU sasa kama kanunua sijui lakini najua hiyo kwa familia ile ni lose change...kama kapewa na wale wataliano ambao wamechukua tenda za kujenga viwanda vya Bakhressa sijui

sasa nasubiri kuliona hilo Gari la gharama kubwa la Rostam na I am 100% sure litakuwa siyo BUGATTI VEYRON




 
Inashangaza kusikia serikali ina deni la mafuta Iran la bilioni 17. Kwani serikali inaagiza mafuta? Si yanaagizwa na makampuni binafsi?

Kama kuna deni la kulipa Iran labda litakuwa lile la fedha $20 million walizotoa wakati wa uchaguzi (kuhakikisha JK anashinda).

Uwezekano wa mafisadi kuchukua BoT $17 million kwa wakati mmoja uko sana. Kumbukeni kuna taarifa za hapo nyuma, zilizosema kuna wakati zilichotwa $200 million wakati mmoja (zikapelekwa Benki Dubai) na hiyo ikasababisha 25% depreciation of the TZ shilling overnight.

Najiuliza hivi: Prof. Ndulu ataweza kweli kumkabidhi RA $17 million mali ya Walalahoi, eti akalipe deni? Kwani naye ni fisadi?
 
Hard to believe;

BP sports car and not an SUV?? 400km/h?? On which roads in TZ?

Source please

Well, hizo 400km/h ni exaggerated, lakini tumemwona akiendesha Hummer H2, black in colour, which IS a bullet-proofed au armour-plated car... Yes! Kwa mafisadi, the manufacturers of the "boutique" Hummer cars DO offer bullet-proofing/armour-plating as an option! So, am not surprised that RA "took" the option! Hehehe! 🙂

Nji hii bwana! Au wengine mtasema... zis kantri bwana!

./mwana wa haki
 

Depending on the type of hummer and the degree of armor unafikiria ni sufficient kwa matumizi yako.Kwa hiyo bei ya hummer jumlisha na vikolombwezo unavyotaka perhaps kuanzia $ 250K.

Hiyo picha ya Ferrari F430 I believe aliyoiweka GT inafika 360KP/H.

Picha uya F430 Scuderia
 
kweli jama watanzania njaa inatuuma sana..yani CCM wanajua kabisa jamaa ni mchafu..lakini ndio wanazidi kumkumbatia..mi naona ni afadhali mgonjwa wa ukimwi kuliko hawa mafisadi,,inabidi tuwa nyanyapae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…