Boss Manyota
Member
- Nov 3, 2018
- 10
- 4
Habari wana JF,
Ni dhahiri kuwa kila jamii ina upekee wake katika mila, desturi, utamaduni pamoja na aina ya maisha inayoitofautisha na jamii nyingine.
Kuna baadhi ya maneno na mashapisho mbalimbali ambayo tumekuwa tukikutana nayo ara kwa mara juu ya jamii mbalimbali na wakati mwingine tumeishia kuona kama ni masimulizi tu ama hadithi za kusadikika. La Hasha!
Kuna jamii ambayo inayohusishwa na kula nyama za watu, hili ni Kabila la Wakorowai linalopatika na Papua New Guinea, Kabila hili limekua likiishi maisha ya kizamani na msituni ikihusishwa zaidi kuwinda.
Na inaelezwa kuwa kabila hili kabda ya mwaka 1970 lilikuwa halina ufahamu wowote ule kama kuna binadamu wengine wanaoishi zaidi yao, yaani walihisi wao ndio binadamu pekee katika eneo lile hivyo wanapoonekana watu wengine inakuwa ni kizaa zaa.
Hii ni makala inayoelezea kwa umahiri juu ya jamii hiii ya WAKOROWAI inayohusishwa na ulaji wa nyama za Binadamu.
Kwa yoyote mwenye madini zaidi anaweza kushare na sisi.