Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza kuwa;
"Lau ningekuwa mjinga ningeanza kugombana mimi na huyu mchezaji asiyejitambua, kanisukuma bila sababu baada ya game ila nikaona nikichachamaa washabiki wetu wangeweza kumdhuru..uzuri wake nilimwambia Kocha wake Mecky Maxime na nahodha Juma Kaseja kabla ya kwenda kumdhuru huyo mshabiki..Nyosso mimi sijatoka Buhelelo..Waangaishe maforeigners mjini.. huo undava na uselamavi mimi nishavuka huko", aliandika Haji Manara.