Ndo yeye. bila shaka kifungo cha maisha cha soka kinamhusuHivi huyu Nyosso si ndio kipindi fulani alipata kumchomeka vidole mchezaji mwenzie uwanjani? Anavuta mabangi au?
Au ni Nyosso mwingine?
Kwanini asifungiwe kabisa maisha yake yote?
Manara alimchokoza Nyoso kwa vimaneno vya kejeli basi yeye badala ya kunyamaza akaingia mkenge na kuiruhusu bangi ifanye kazi badala ya akili, sasa yatakayomkuta itakuwa majuto makubwa kwake akiwaacha walimkejeli wakimcheka na asijue cha kuwafanya.
Mkuu wa habari wa Simba Sports Club, Haji Manara, naye amelalamika kufanyiwa undava kwa kusukumwa na mchezaji wa Kagera Sugar Juma Nyosso bila sababu.
Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza;
"Lau ningekuwa mjinga ningeanza kugombana mimi na huyu mchezaji asiyejitambua, kanisukuma bila sababu baada ya game ila nikaona nikichachamaa washabiki wetu wangeweza kumdhuru.. Uzuri wake nilimwambia Kocha wake Mecky Maxime na nahodha Juma Kaseja kabla ya kwenda kumdhuru huyo mshabiki. Nyosso mimi sijatoka Buhelelo.. Waangaishe maforeigners mjini.. huo undava na uselamavi mimi nishavuka huko", aliandika Haji Manara.
Siƴo miongoni mwa watu waliokulia mwananƴamala kweli huyuHuyu jamaa akili yake siyo nzuri. Nadhani mpira si sehemu yake
Mpira ulishakwisha, sil wakati wa mpira, na ni pembeni mwa uwanja.Huyo mshabiki alifuata nini kwa kiwanja? Sheria inamruhusu kuingia kwa kiwanja? Mshabiki kataka mwenyewe kuzimia
Maisha yamemchanganya NyosoHuyu jamaa akili yake siyo nzuri. Nadhani mpira si sehemu yake
Umeuliza tatizo ni nini au unatokwa povu tu,,Nyoso si chizi ampige mtu bila sababuHivi huyu Nyosso si ndio kipindi fulani alipata kumchomeka vidole mchezaji mwenzie uwanjani? Anavuta mabangi au?
Au ni Nyosso mwingine?
Kwanini asifungiwe kabisa maisha yake yote?