Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #21
Umegundua nini?Haaaaaaaaahaaaaaa
Namuona money Mayweather hpo tatzo mi nimekuzoea sana kwenye music na entertainment nyengine hku nlikuchukulia poa kumbe unamuelewa sana hyu kichaa eee!Umegundua nini?
Mada zote zinazohusu boxing huwa ninazileta mimi.Namuona money Mayweather hpo tatzo mi nimekuzoea sana kwenye music na entertainment nyengine hku nlikuchukulia poa kumbe unamuelewa sana hyu kichaa eee!
Okay bro labda sijawahi kukugumia napenda sana boxing utanipa materials!Mada zote zinazohusu boxing huwa ninazileta mimi.
Usiwaze.Okay bro labda sijawahi kukugumia napenda sana boxing utanipa materials!
Kiukweli alimuwahi lakini alimpa jabs za kutosha, kama sio refa kuwahi yule Sam Egginton alikuwa anakufa.Ana hiyo weakness anaacha sura yake very exposed, ni hatari sana akiwahiwa yeye. Alichofanya juzi ni kumuwahi yule mzungu.
Hii chai ya chumvi, Manny hakuvunjwa bega na Floyd. Tangu hata pambano linaanza aliumia, akataka kughairisha pambano ila haikuwezekana kisa tambo za MyweatherBondia Floyd Joy Money Mayweather amethibitisha kurudi ulingoni desemba mwaka huu kuzichapa kwa mara ya pili na Manny Pacquiao.
Katika pambano la mara ya kwanza Floyd aliibuka mshindi kwa Uninamous Decision (U.D) na ameahidi pia katika pambano la marudiano atamchakaza zaidi ya mara ya kwanza.
Kauli hizo kwa kiasi fulani zilimuogopesha Manny Pacquiao japo yeye ndiye aliyekuwa analilia pambano.
Bila kusahau katika pambano la hapo awali Floyd alimpiga Pacquiao mpaka akamvunja bega sasa je Pacquiao atalipa kisasi au ataendelea kuwa teja kwa Undefeated Pretty boy Floyd Money Mayweather???
View attachment 867145View attachment 867146
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda ashinde na njaa sio kushinda pambano.
mtoa mada " kapagawaTatzo hbr umeileta kishabiki sana alimvunja mkono au kabla ya pambano pac aliingia mkono mmoja ukiwa mbovu? kuwa makini unapoleta taarifa hmu co wote vilaza!
So?Hizi ndo post sasa!!