ngoja niongee na moods huu uzi usionwe na wadada over 20, mnakaba mpaka huku banaWaharibifu hawa!!!
Waacheni watoto wangu wajadili yao. Tena msinikuzie atii
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan nyie ujana mmeshaumaliza uzee ndio uwaletee wanangu? Skubali naandamanangoja niongee na moods huu uzi usionwe na wadada over 20, mnakaba mpaka huku bana
Mkuu ni vijana sio madogo
[HASHTAG]#Prepotime[/HASHTAG].Mabebez mmelalaa??
[HASHTAG]#Prepotime[/HASHTAG].
ujana wetu unachelewaga sana kuishaYaan nyie ujana mmeshaumaliza uzee ndio uwaletee wanangu? Skubali naandamana
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu kumbe na wewe ni yosoha haha mkuu usijali we komaa nasi tu ndiyo kujifunza .. usiogope kusemwa atii ndiyo maisha
Rubii hiyo bebez ya madogo hawa au unatuita mimi na Swissme?Mabebez mmelalaa??
Hapana mkuu
[emoji1] [emoji1] mbebe yoyote atakayejitokezaRubii hiyo bebez ya madogo hawa au unatuita mimi na Swissme?
Acha nireply tu... Bebe rubii am wide awake. Nikutoe club za vijana? Elements nini
-callmeGhost
wewe mbona umekuja [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja watoto wenzako waje