gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,375
- 7,217
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hapana kuna dogo nimemsindikiza aweze kuja,basi ngoja niwaachewewe mbona umekuja [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ni mwenzetu wewe mpeni siti huyu mzee
be___blessed
acha ubaguzi dogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkikua mtaelewaa....Na kuna wachawi kule akina mshana Jr
Apo kwenye matikit ntakuja chief....fungua tuHa haa! Ngoja na mie nifungue uzi wa wote waliostaafu ops au ngoja nifungue wa wale wote ambao wamebuma kwenye kilimo, hasa cha matikiti!🙄🙄🙄
Amna huku itabidi tuwe wapole tuwashaur tuHahahaa yale yale tuu.. hadi huku wanakuja kunyanyapaa dah noma....
wapi we we?Mkuje humu acheni kujadili mambo ya wazee.
kweliUzi zenu wakubwa hamtaki watoto wawaingilie….
Ila nyie uzi huu wa watoto mmeuvamia kwa kasi kubwa ya 4G!
Moderators saidieni watoto wanaonewa huku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
aisee
Oi niaje we ni.akil.allen yule wa 822kjMkuje humu acheni kujadili mambo ya wazee.
tatizo KE wanaogopa mendeNasubiri under 20 kajike nijipatie kademu
Hii ID inanikosesha dadaz aiseetatizo KE wanaogopa mende
khaatatizo KE wanaogopa mende