Ungeandika kwa kiswahili tu mdogo wangu!21 years old I am.
I have already dates about 40 women's at different period of time.
Ni kweli natokea kimachale sana.... I miss you too [emoji9] lol[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Siku mingi sijaona post yako.
At least now I know that you still exist!
Hiyo english ya kolomije ya kichato chato mkuuUngeandika kwa kiswahili tu mdogo wangu!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Ni kweli natokea kimachale sana.... I miss you too [emoji9] lol
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Hahahhaaaa!! Mwenyeweeeeee!Nyooooo
Hadi 23 sijawahi kudate?
Nna matatizo gani labda?
Mbona hata sisi tunaofanya kabla tunamuamini Munguwanamuamini mungu mpaka waoe
Lakini hamfuati maamrisho yako na makatazo, mnajiendesha mnavojua mwisho siku ya hukumu sijui itakuajeMbona hata sisi tunaofanya kabla tunamuamini Mungu
Mmh!Nitatubu badaeLakini hamfuati maamrisho yako na makatazo, mnajiendesha mnavojua mwisho siku ya hukumu sijui itakuaje
MMHH kwani dhambi ya kufanya kwa makusudi nayo wanatubu itakubalika??Mmh!Nitatubu badae
Like ndyo nin?Natafuta waigizaji wa like wawili