Under-30 Youth Awards, Tuzo za Kwanza na Kubwa za Vijana Tanzania

awadh

Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
46
Reaction score
60
Habari wanaJF,

Shirika la Youth For Africa (YOA) likishirikiana na wadau wake linaandaa tuzo za kwanza na kubwa zaidi Tanzania zinajulikana kama Under-30 Youth Awards. Tunapokea Mapendekezo ya Majina ya Vijana au Vikundi vya Vijana waliofanya vema katika categories Entrepreneurship, Media, Innovation, Fashion, Sports, Art and Design, Entertainment na Tuzo kubwa zaidi ya Social Impact. Unaweza kutembelea youthawards.or.tz kwa kufanya nominations.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…