Kuna mob za 20k from NIC bank. Stick to Tanzanian issuesThe cheapest mortgage i have seen is 60k p.m. Thats for a 2m house.
5k hata mukuru kwa njenga rent iko juu ya hiyoπππ
Hongereni watani..na sisi tungekua na affordable housing plan..watu wasingekaa kwenye mazingira hatarishi kama pale Jangwani panavyojaa maji wakati wa mvua
But but but na wao hzo nyumba zingekua affodable watu wasingeishi maeneo hatarishi kama kibera [emoji16][emoji16][emoji16]
Oh boy! It looks like we now have to explain to this one how affordable housing works. Then again, laggards shooting from the outside.But but but na wao hzo nyumba zingekua affodable watu wasingeishi maeneo hatarishi kama kibera [emoji16][emoji16][emoji16]
Mi nakutetea utoke hapo kibera afu we unajikuta mjuaji, shaur ako.Oh boy! It looks like we now have to explain to this one how affordable housing works. Then again, laggards shooting from the outside.
Hakuna kitu kama hiyo..Leta evidenceKuna mob za 20k from NIC bank. Stick to Tanzanian issues
Nikuletee evidence. Wewe yako umeleta? Why the double standards? You made the claim first so leta yako halafu nilete yangu.Hakuna kitu kama hiyo..Leta evidence
It is boom town.Athi river kuna so many projects coming up. Nimepita huko juzi nikaona around three malls, na so many apartments
Sure. Then Mombasa road expansion itafanya so many people waanze kuishi around that areaIt is boom town.