Under the Samia regime, unemployment rate is slowing down tremendously compared to her predecessor

So successor wetu kwenye hili amefanya nini?
 
Attachments

  • Screenshot_20241211_143957.jpg
    149 KB · Views: 3
Kama Kuna watu hawana kazi ya kufanya kwenye Nchi kama hii imejaa fursa ni wapumbavu na wapuuzi,wanatakiwa kuwa jela hawana faida.

Sio Ulaya hapa kwamba kazi zinafanywa na mashine
Endelea hivyo hivyo siku moja hayo maneno yatakutokea puani, ukikutana na majamaa ukayaropokea hivyo ukaweshwa mawe
 
Under Samia regime everything has fallen down and became unconscious.
 
Through migration? People will flock in the country and definitely cause unemployment...... I prefer if she could have helped to having chances in Immigration department to migration.
 
Through migration? People will flock in the country and definitely cause unemployment...... I prefer if she could have helped to having chances in Immigration department to migration.
Migration itoke wapi?
 
I don't konw how this work wengine hatuna kazi miaka sasa na hatuachi kumpenda huyu Samia
 
No 2. Waliomo ndani wanaelewa kosa kubwa lililofanyika. Kizazi Cha 2000 kitagharimu jeshi pakubwa Kwa kukosekana misingi kamili (foundation) watanielewa wachache.
 
No 2. Waliomo ndani wanaelewa kosa kubwa lililofanyika. Kizazi Cha 2000 kitagharimu jeshi pakubwa Kwa kukosekana misingi kamili (foundation) watanielewa wachache.
Jeshi halibitaji akili bali misuli tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…