kwanza asanteni xana wakubwa zangu,lakini mi kwa mawazo yangu nafikiri ninachokitafuta is just girlfrind,na sio mke alafu kwa umri huu mi nafikiri najua ninacho kifanya cwez kuchanganya mapenz na shule coz kila kitu kitakuwa na mda wake,alafu 2cdanganyane kwa umri huu wangu cjui kama kuna kijana asie waza mapenz hii ni kutokana na mazingira yenyewe ya sasa cha msingi ni wewe tu utavyo yachukulia coz najua kila ki2 kina faida na hasara,kibaya ni ngono na sio mapenz{girlfriend&boyfriend} hata kufarijiana..!