Undergraduate first year transfer

king mjuni

Member
Joined
Oct 11, 2014
Posts
93
Reaction score
15
Jaman wadau kwa muda uliopita nilikuwa nalia na tcu kwa mambo ambayo wamenfanyia lakn nikanyamaza sasa npo chuo ambacho nakipenda lakn koz yake siipend sabab nilifanya 2round aplc so nilifanya wrong choice niw kwenye system so npo UDOM Kwa coz ya BAGE Bch. Of art in geog and envrnmental study me sitak hii koz nataka omba koz ya science with eduction.

Nimesoma CBG so njia rahs n ipi? Ili niweze kubadil na koz hyo ya BAGE ninamkopo nimepewa na bod so wanasumbua sanaaa so naomben maujanja mana future yang ishaharbka ila kama waknpa edction somehow naweza nikatmiza malengo yang mana nilkuwa napenda medical related programs!
 
Kwanza pole sana , Kwa kuwa chuo cha Kata ya ngo'ng'ona. Pili pole sana Kwa kuwa unafugwa Na wadeni.
 
Nyanyando, vp hayo ndo majibu au msaada nilioomba au?
 
Tcu Wamexema Iv Kwa Anaetaka Kuhama Coz Ndan Y Chuo Afanye Wk Y Tatu Baada Ya Chuo Hucka Kufungua Icho K2 Kinawezekana Chali Angu But Ugumu N Kuhamisha Mkopo Kwenda Kwnye Iyo Coz Uliohamia Nackia Yaweza Chukua Mwaka Awajakuhamishia Loarn Whch Meanz Utakuw Unapew Ule Mkopo Wa Coz Ya Awal. Ya Ivo 2 An,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…