Undergraduate selection ya MWUCE imetoka.

Mliochaguliwa mwuce karibu sana, mazingira yako poa sana na malecture wakutosha tu, ila mjiandae maana msuli wake ni hatari, sup nje nje. Ni branch kongwe ya saut mkoa wa kilimanjaro
 
Duh... kweli bongo tumeendelea, mayunivazti everewea, hii MWUCE ndo naiskia asubuhi hii..
 
Jamani hiyo barua ya kujiunga naipataje?
Maana muda umeshakatika tar 7 ni wiki ijayo tu!
 
Jamani hiyo barua ya kujiunga naipataje?
Maana muda umeshakatika tar 7 ni wiki ijayo tu!

Nenda moshi kachukue ingawa sio lazima maana sample ya hiyo barua ipo kwenye website yao,waweza pata taarifa zote na mahitaji ya muhimu wakati wa kuripoti hapo, cha msingi umeona jina lako MWUCE nenda na mahitaji yao siku ya kuripoti, tena hawatakuomba barua watakuuliza jina lako, wata confirm na vyeti vyako then watakuomba ada yao na mchezo utakuwa umekwisha, kila la heri katika masomo yako.
 
jaman mlioripoti tujulisheni procedure
 
Oya chelewachelewa utadandia nyigu!!! Lecture zinaanza rasmi j3. Ndugu wahi pale sii kwa gvt ni pvt. Call me 4mo info!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…