Underground vs Wakongwe wa JF

Uongo au kweli?
[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Hata wakubwa wanapokuwa na wakubwa wenzao hufanya mambo ya kijinga....lakini ni upumbavu kwa mkubwa kufanya mambo ya kijinga mbele ya watoto...kwani mtoto naye atakuwa mjinga.....
 
Hata wakubwa wanapokuwa na wakubwa wenzao hufanya mambo ya kijinga....lakini ni upumbavu kwa mkubwa kufanya mambo ya kijinga mbele ya watoto...kwani mtoto naye atakuwa mjinga.....
Nimekuelewa
Cha msingi kila mtu afurahie maisha
Watoto waangalie katuni
Wakubwa waangalia picha za X
Ilimradi wasivunje sheria
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
sawa basi underground mmeshinda sasa nendeni mkacheze facebook na insta mkikuwa wakongwe mrudi JF
 
sawa basi underground mmeshinda sasa nendeni mkacheze facebook na insta mkikuwa wakongwe mrudi JF
Na ww rudi WhatsApp group lako la wacheza rede likifa ndo urudi JF
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Na ww rudi WhatsApp group lako la wacheza rede likifa ndo urudi JF
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
wakongwe tupo JF hata kabla whatsapp haijafahamika so hizo mambo za group zinawahusu nyinyi watoto wa juzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…