Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Tuwataje hapa na nyimbo zao. Mimi msanii wa kwanza ni Motra the Future kaimba nyimbo kama sina koloni, uswazi etc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naoona Alikiba ndio Most Overated.Uwezo average sifa sasa utadhani ndio messi wa bongo musicAli Kiba na wimbo wake wa Kimasomaso mwanangu usimuone.
Hivi ni kweli msanii mwenye sifa kwa kiasi cha kustahili tuzo haumjui? Wahenga hawakukosea waliposema, MASIKINI AKIPATA? Ma**** hulia mbwata.Mi naoona Alikiba ndio Most Overated.Uwezo average sifa sasa utadhani ndio messi wa bongo music
Kweli mkuu, jamaa huwa analadha yake flan hivi ya kitofauti sanaBinafsi namwelewa Bonge la Nyau( Nyauroso)_Aza.ft. Q chillah
Vise versa amefanya na Barnaba
Jay moe pia, overallSteve RnB ft Blue, huyu demu, yaani huwa nikiisikiliza hii ngoma huwa naona kweli bongo haitendei haki baadhi ya wasanii au baadhi ya nyimbo