Underrated Artists from Tanzania

Rosh Hashannah

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
3,415
Reaction score
2,043
Tuwataje hapa na nyimbo zao. Mimi msanii wa kwanza ni Motra the Future kaimba nyimbo kama sina koloni, uswazi etc
 
Ali Kiba na wimbo wake wa Kimasomaso mwanangu usimuone.
 
Ali Kiba na wimbo wake wa Kimasomaso mwanangu usimuone.
Mi naoona Alikiba ndio Most Overated.Uwezo average sifa sasa utadhani ndio messi wa bongo music
 
Kuna huyu Kijana anaitwa Bestnaso, nyimbo yake inaitwa Dua la Kuku nadhani hakupewa heshima anayostahili..
 
Mi naoona Alikiba ndio Most Overated.Uwezo average sifa sasa utadhani ndio messi wa bongo music
Hivi ni kweli msanii mwenye sifa kwa kiasi cha kustahili tuzo haumjui? Wahenga hawakukosea waliposema, MASIKINI AKIPATA? Ma**** hulia mbwata.
 
Steve RnB ft Blue, huyu demu, yaani huwa nikiisikiliza hii ngoma huwa naona kweli bongo haitendei haki baadhi ya wasanii au baadhi ya nyimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…