Understand The Truth Behind Hip Hop

Understand The Truth Behind Hip Hop

Wamarekani wametukalia vichwa hasa. Leteni thread ya truth behind mdundiko
 
Lakini ukimfuatilia KRS One a.K.a Teacher alisema Hip Hop ina elements kama 9. Ingawa watu wengi wanazijua 5. Tafuteni wimbo wa KRS One Unaitwa Hip Hop Knowledge jamaa amechambua vizuri sana kwenye autro.
 
hiphop inahamasisha maouvu duniani, vilevile waaanahiphop maarufu ni free masonry, tazama cover la Lupe Fiasco, the cool album,utaona fuvu na alama nyingi tu za kifree masonry. NI HATARI SANA
 
Hiphop wote ni ma free mason. Kiongoz wao jayZ
 
Hiphop wote ni ma free mason. Kiongoz wao jayZ
<br />
<br />
acha kupotosha kama jay z ni freemason ni yeye uamuzi wake binafsi na sio hiphop ni sawasawa padre awe shetani haiimaanishi kuwa wakristo ni shetani.
 
Back
Top Bottom