Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Bondia wa ngumi za kulipwa Evander Holyfield(58) ambaye alistaafu mwaka 2011 alirejea ulingoni na kupambana Septemba 12, 2021 katika pambano la maonesho ambapo alipambana na Vitor Belfort(44)
Katika pambano hilo Evander hakuweza kurusha hata ngumi moja dhidi ya mpinzani wake ambapo akapoteza katika round ya kwanza kwa TKO
Evander Holyfield nI bondia pekee aliyeshikilia rekodi ya kushinda mikanda yote ya dunia kwa wakati mmoja (Undisputed Champion) kwenye madaraja ya cruiserweight na heavyweight