Hapa ninawaomba tujadili kwa kina, lengo kuu ni kuangalia target ya kila serikali. Niproject zipi inezitilia mkazo katika nchi.
Hapa nitawekza PDF mbili. Moja ikiwa inaongelea projects za Kenya na nyingine ikiwa inaongelea projects za kenya.
Vilevile nitaweka link UNDP Transparency Portal.
UNDP Transparency Portal