Unene huleta kibamia "WATAALAMU"

Adolf Hitler Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
340
Reaction score
263
Lengo la thread hii ni kuelimishana juu ya mada husika na si vinginevyo. Hivyo ningependa kujua maoni yenu na wenye shuhuda wafunguke

 
halafu eti wadada husemaga watu wabonge hudumu kwenye bed muda mrefu.....
 
Kwa nature ya kiafrika usipokua mnene inaonekana wewe ni maskini na maskini siku zote hawafurahii tendo la ndoa kama walivo matajiri
 
Ni Kweli. Kuna mmoja nilimdharau ila yuko Vizuri kwa bed... Balaaa
Unajua mimi sijui ni ushamba wangu ama sijielewi, hivi kuwa vizuri kwenye bed tafsiri yake ni nini hasa:
Je ni mtu kuwa na pumzi kwenda mpaka masaa mawili
Ni mtu anaehakikisha anamridhisha mwenza wake hata kama ni sekunde 20
Je ni mtu anaeweza tendo lenyewe round nyingi bila kuchoka
Ni mtu ambae yupo romantik hata kama anaenda dakika 5
Mimi sijui chochote naomba kueleweshwa
 
Ila mods acheni yenu hii thread ilitakiwa ikae kwenye Mahusiano , Mmeipunguzia mileage sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…