Unene/uzito

Unene/uzito

health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
325
Reaction score
39
Ni matumaini yangu kuwa upo vizuri kiafya na kiakili pia unaendelea vema na kazi za ujenzi wa taifa. Mimi nashukuru ninaendelea vema na kazi zangu za kila siku. Leo napendelea kushirikisha jamii kuhusu namna mtu aliye na uzito mkubwa au unene anavyoweza kuupunguza hadi kufikia hatua ambayo anaweza kusema basi hapa inatosha na haina haja ya kuendelea tena. Baada ya kufanikiwa kufanya hvo inabidi kuchukua hatua muhimu za kutunza afya ili yaliyotokea yasije yakatokea tena siku zijazo. Wapo wanaopenda sana kupunguza uzito lakini hushindwa kutokana na ratiba zao kuwa ngumu kutokana na kazi zao za kila siku, wengine wanashindwa kutokana na ugumu wa mazoezi japokuwa muda wanakuwa nao, wengine wanakuwa ni wavivu tu wa kufanya mazoezi hata yale ya kawaida kabisa, wengine hufanya kwa jitihada zote lakini bado hawapungui na wapo pia wanaojishindisha njaa ili waweze kupungua ila bado kile kidogo wanachokula bado wanaona wananenepa. Napenda kuwashauri kuwa tunapokula inatakiwa tuwe tunazingatia mlo kamili na tuweze kuangalia ni aina gani ya chakula hakihitajiki kwa asilimia kubwa mwilini kuendana na kazi tunazozifanya pamoja na umri pia. Vile vile ni muhimu kuzingatia mazoezi hata kwa muda mfupi. Ni muhimu sana kiafya mtu kuzingatia kuhusu uzito wa mwili wake kuendana na kimo chake. Madhara ya uzito/unene wa mwili ni mengi na mengine huonekana baadaye hasa umri ukiwa umesogea. Napenda sana kuwashauri ni muhimu kuzingatia hilo.
Ipo njia muhimu sana ya matumizi ya lishe inayoweza kumfanya mtu akapunguza uzito/unene huku akiendelea na shughuli zake za kila siku hata kama atakuwa anakosa muda mwingi wa kufanya mazoezi. Hii lishe inamfanya mtu awe anapungua siku hadi siku kuendana na matumizi yake yanavyozingatiwa. Imeweza kuthibitishwa kutumiwa duniani kote kwa ajili hiyo ya kuweka afya njema pia imethibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa kwa hapa Tanzania(TFDA). Wengi waliokwisha kutumia wameweza kuona umuhimu na uzuri wake. Unaweza kufuatilia maelezo muhimu kuhusu lishe husika kwa hapo chini.

MAGILIM

Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo

CORDY ROYAL JELLY

Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps sinensis na Royal jelly.
Royal jelly – Inatokana na chakula maalum cha malkia wa nyuki.

FAIDA ZA CORDY ROYAL JELLY

  • Ina vitamin A,B,C,D,E na K ni chakula kilichokamilika.
  • Inaondoa cholesterol
  • Inaimarisha mfumo wa damu mwilini.
  • Ina faty Acid
  • Inaongeza nguvu na kutoa uchovu na kutoa sumu mwilini
  • Inakufanya usizeeke haraka(anti aging)
  • Kulainisha ngozi na kufanya ngozi kuwa nzuri
  • Inafanya damu kuwa nyepesi
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Kuweka kiwango cha mafuta na cholesterol sawa.
  • Mafuta yaliyoganda kuzunguka moyo na kwenye mishipa ya damu huyeyusha na kulainisha mishipa ya damu.

GOLDEN SIX

Golden Six imetokana na mimea sita(six golden herbs) inamaanisha mimea sita yenye thatmani.

Golden six inahusika na sehemu zifuatazo;

  1. Mishipa ya hisia
  2. Figo
  3. Kuinua kinga ya mwili na kinga ikiwa nyingi kwenye mwili inasaidia uroto kwenye mifupa(born marro), ndiyo inatengeneza cell za mwili.
  4. Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee.

Utendaji kazi wa Golden six;

  • Golden six ina kinga kubwa kwenye mwili, ukiitumia vizuri inakwenda kusawazisha kinga kwenye mwili.
  • Inarutubisha uroto kwenye mifupa nah ii hutengeneza chembechembe nyeupe za damu kwa haraka.
  • Golden six inasafisha figo kwa kuipa nguvu ya kusafisha damu, kuondoa sumu mwilini kama vile uric acid.

Uric acid ikiwa kwenye viungo husababisha kuumwa kwa viungo.

  • Kuhisi uchovu
  • Kutokwa na jasho sana
  • Kuumwa sehemu ya chini ya mgongo na pia kukosa usingizi.

Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee mfano;

  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kutoona vizuri
  • Misuli kukosa nguvu
  • Chembechembe za mwili kufa kwa haraka
  • Inajenga mishipa ya hisia na kuondoa matatizo ya kupooza
  • Kwa waliopooza na kuathirika kwenye mdomo (mdomo kupinda) katika mazungumzo inawasaidia na kurekebisha mazungumzo yao.

FAIDA ZA GOLDEN SIX

  • Stroke(kupooza)
  • Kukosa usingizi
  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kuumwa na viungo
  • Kusafisha damu
  • Husaidia presha ya kupanda inayosababisha mishipa kubana hii hutokana na aina Fulani ya Adrino gland ambayo hutoa kemikali, husababisha kubana kwa mishipa ya damu.
  • Matatizo ya wanawake na ukomo wa wanawake

Yeyote anayehitaji msaada zaidi labda kutaka kuuliza au ushauri anaweza kunipigia kupitia namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia ishealthy@hotmail.com

Gharama za MAGILIM ni Tsh. 62500/-, CORDY ROYAL JELLY 68000/- na GOLDEN SIX 38000/-
 
Attachments

  • MAGILIM.jpg
    MAGILIM.jpg
    15.2 KB · Views: 358
  • CORDY ROYAL JELLY.jpg
    CORDY ROYAL JELLY.jpg
    15.7 KB · Views: 354
  • GOLDEN SIX.jpg
    GOLDEN SIX.jpg
    14 KB · Views: 325
Kama unataka a classic weight management programme google clean 9, utaona na utapata maelezo ya kutosha, ukiihitaj inauzwa 265000 ni pm ntakutumia
 
Hata viliwavyo ukiviparamia ni sumu...Toka nisome kwenye blog moja huko Nigeria super star mmoja kafa kwa kunywa Green tea toka China nimeapa sitaki tena kusikia hizi formula...kupungua unene kwa njia ya uhakika na salama ni kupunguza kiwango cha calorie kinachoingia mwili kwa siku au lugha raisi ni kula kidogo...usile mpaka unacheua...baki na njaa kidogo kila unapokula uone kama hutapungua.
 
Huo nimtazamo kwa upande mwingine.
 
na tizi zinahusika mdau
 
Ni matumaini yangu kuwa upo vizuri kiafya na kiakili pia unaendelea vema na kazi za ujenzi wa taifa. Mimi nashukuru ninaendelea vema na kazi zangu za kila siku. Leo napendelea kushirikisha jamii kuhusu namna mtu aliye na uzito mkubwa au unene anavyoweza kuupunguza hadi kufikia hatua ambayo anaweza kusema basi hapa inatosha na haina haja ya kuendelea tena. Baada ya kufanikiwa kufanya hvo inabidi kuchukua hatua muhimu za kutunza afya ili yaliyotokea yasije yakatokea tena siku zijazo. Wapo wanaopenda sana kupunguza uzito lakini hushindwa kutokana na ratiba zao kuwa ngumu kutokana na kazi zao za kila siku, wengine wanashindwa kutokana na ugumu wa mazoezi japokuwa muda wanakuwa nao, wengine wanakuwa ni wavivu tu wa kufanya mazoezi hata yale ya kawaida kabisa, wengine hufanya kwa jitihada zote lakini bado hawapungui na wapo pia wanaojishindisha njaa ili waweze kupungua ila bado kile kidogo wanachokula bado wanaona wananenepa. Napenda kuwashauri kuwa tunapokula inatakiwa tuwe tunazingatia mlo kamili na tuweze kuangalia ni aina gani ya chakula hakihitajiki kwa asilimia kubwa mwilini kuendana na kazi tunazozifanya pamoja na umri pia. Vile vile ni muhimu kuzingatia mazoezi hata kwa muda mfupi. Ni muhimu sana kiafya mtu kuzingatia kuhusu uzito wa mwili wake kuendana na kimo chake. Madhara ya uzito/unene wa mwili ni mengi na mengine huonekana baadaye hasa umri ukiwa umesogea. Napenda sana kuwashauri ni muhimu kuzingatia hilo.
Ipo njia muhimu sana ya matumizi ya lishe inayoweza kumfanya mtu akapunguza uzito/unene huku akiendelea na shughuli zake za kila siku hata kama atakuwa anakosa muda mwingi wa kufanya mazoezi. Hii lishe inamfanya mtu awe anapungua siku hadi siku kuendana na matumizi yake yanavyozingatiwa. Imeweza kuthibitishwa kutumiwa duniani kote kwa ajili hiyo ya kuweka afya njema pia imethibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa kwa hapa Tanzania(TFDA). Wengi waliokwisha kutumia wameweza kuona umuhimu na uzuri wake. Unaweza kufuatilia maelezo muhimu kuhusu lishe husika kwa hapo chini.

MAGILIM

Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum

Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid

Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).

Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo

CORDY ROYAL JELLY

Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps sinensis na Royal jelly.
Royal jelly – Inatokana na chakula maalum cha malkia wa nyuki.

FAIDA ZA CORDY ROYAL JELLY

  • Ina vitamin A,B,C,D,E na K ni chakula kilichokamilika.
  • Inaondoa cholesterol
  • Inaimarisha mfumo wa damu mwilini.
  • Ina faty Acid
  • Inaongeza nguvu na kutoa uchovu na kutoa sumu mwilini
  • Inakufanya usizeeke haraka(anti aging)
  • Kulainisha ngozi na kufanya ngozi kuwa nzuri
  • Inafanya damu kuwa nyepesi
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Kuweka kiwango cha mafuta na cholesterol sawa.
  • Mafuta yaliyoganda kuzunguka moyo na kwenye mishipa ya damu huyeyusha na kulainisha mishipa ya damu.

GOLDEN SIX

Golden Six imetokana na mimea sita(six golden herbs) inamaanisha mimea sita yenye thatmani.

Golden six inahusika na sehemu zifuatazo;

  1. Mishipa ya hisia
  2. Figo
  3. Kuinua kinga ya mwili na kinga ikiwa nyingi kwenye mwili inasaidia uroto kwenye mifupa(born marro), ndiyo inatengeneza cell za mwili.
  4. Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee.

Utendaji kazi wa Golden six;

  • Golden six ina kinga kubwa kwenye mwili, ukiitumia vizuri inakwenda kusawazisha kinga kwenye mwili.
  • Inarutubisha uroto kwenye mifupa nah ii hutengeneza chembechembe nyeupe za damu kwa haraka.
  • Golden six inasafisha figo kwa kuipa nguvu ya kusafisha damu, kuondoa sumu mwilini kama vile uric acid.

Uric acid ikiwa kwenye viungo husababisha kuumwa kwa viungo.

  • Kuhisi uchovu
  • Kutokwa na jasho sana
  • Kuumwa sehemu ya chini ya mgongo na pia kukosa usingizi.

Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee mfano;

  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kutoona vizuri
  • Misuli kukosa nguvu
  • Chembechembe za mwili kufa kwa haraka
  • Inajenga mishipa ya hisia na kuondoa matatizo ya kupooza
  • Kwa waliopooza na kuathirika kwenye mdomo (mdomo kupinda) katika mazungumzo inawasaidia na kurekebisha mazungumzo yao.

FAIDA ZA GOLDEN SIX

  • Stroke(kupooza)
  • Kukosa usingizi
  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kuumwa na viungo
  • Kusafisha damu
  • Husaidia presha ya kupanda inayosababisha mishipa kubana hii hutokana na aina Fulani ya Adrino gland ambayo hutoa kemikali, husababisha kubana kwa mishipa ya damu.
  • Matatizo ya wanawake na ukomo wa wanawake

Yeyote anayehitaji msaada zaidi labda kutaka kuuliza au ushauri anaweza kunipigia kupitia namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia ishealthy@hotmail.com

Gharama za MAGILIM ni Tsh. 62500/-, CORDY ROYAL JELLY 68000/- na GOLDEN SIX 38000/-
 
Attachments

  • CORDY ROYAL JELLY.jpg
    CORDY ROYAL JELLY.jpg
    15.7 KB · Views: 90
  • GOLDEN SIX.jpg
    GOLDEN SIX.jpg
    14 KB · Views: 87
Hivi kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuwaamini hao mamlaka sijui ya nini TZ ? Madudu mangapi yaliyooza au yasiyofaa kwa matumizi ya binadamu yanapitishwa, yamezagaa na hao mamlaka mshenzy hawafanyi chocote !

Haya ya kula madawa kila siku kwa kila kitu, hata ukijamba unakula dawa tuwaachie hao bazungu... hao hawajazoea kula chakula halisi kila kitu ni makopo na vilivyofungwa ktk paketi kwa miaka kadhaa !! Sisi asili yetu ni watu wa kazi, dona na maharagwe n.k kwa sana. Tuboreshe afya kwa kuhamasisha ulaji mboga, matunda, na kupunguza vitimoto na bia asubuhi-asubuhi, na kuhamasisha mazoezi (hata kulima bustani jioni ni mazoezi pia0 sio lazima kwenda gym au koko bichi..

Haya madawa yako NOO na kama bazungu balivyo, hamsemi madhara yake ambayo tunajua yapo mengi tuu !!
 
Nafurahi kuwa nimewezeza kuwashirikisha wengi kuhusiana na namna ya kuwa na afya njema na napenda pia wengine waendelee kushirikishana zaidi. Napenda kuwaeleza pia pamoja na kuwa nimewashirikisha kwa moyo mmoja ningependa pia kuwahamasisha kuwa tayari kuweza kusoma na kuelewa vizuri kuhusiana na mada husika kabla ya kuchukua namba ya simu. Nahimiza kusoma kwa sababu huwa wapo wengi wanakuwa na maswali mengi sana kutokana na kutokusoma hata kidogo na kukimbilia tu kuchukua namba. Akiulizwa A hajui wala Z hajui inakuwa tabu kidogo sababu nashughulika na watu wengi. Mtu akitaka pia kupata na ushuhuda wa wa baadhi ya watu ambao walishatumia na wanaamini katika lishe asilia wanaweza kutembelea link hii Testimony-MAGILIM

Shukrani na karibu sana.
 
Hello Mwanajamii! Napenda kuwajulisha kuwa kutokana na uwingi wa watu wanaojitokeza kwa ajili ya kupata huduma nimekuwa busy sana kupokea simu za watu mbalimbali ila msichoke kunipigia lakini endapo simu zinakuwa za shida au hupati jibu kwa wakati naomba kuandikiwa email huwa nazikuta na nazisoma zote. Naomba mnielewe vizuri tu kwa hilo.

Kwa swali lolote au ushauri waweza kuuliza kwa kunipigia 0776491294/0713889162 au kuniandikia kupitia email ishealthy@hotmail.com

Karibuni.
 
Hello wanajamii! Nimekuwa nikipokea simu na ujumbe mwingi kuwa hii huduma bado ipo ama laa maana wanasoma post za tangu mwaka 2013. Napenda kuwajulisha huduma inaendelea na kuwapo kimya humu ni kutokana na kazi kuwa nyingi sana. Mtu akiwa na shida yoyote asisite kuendelea kunitumia ujumbe katika email ya ishealthy@hotmail.com au kunipigia kwa namba 0776491294/0713889162. Karibuni sana kwa moyo wa ukarimu sana nipo kuwahudumia
 
Back
Top Bottom