health
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 325
- 39
Ni matumaini yangu kuwa upo vizuri kiafya na kiakili pia unaendelea vema na kazi za ujenzi wa taifa. Mimi nashukuru ninaendelea vema na kazi zangu za kila siku. Leo napendelea kushirikisha jamii kuhusu namna mtu aliye na uzito mkubwa au unene anavyoweza kuupunguza hadi kufikia hatua ambayo anaweza kusema basi hapa inatosha na haina haja ya kuendelea tena. Baada ya kufanikiwa kufanya hvo inabidi kuchukua hatua muhimu za kutunza afya ili yaliyotokea yasije yakatokea tena siku zijazo. Wapo wanaopenda sana kupunguza uzito lakini hushindwa kutokana na ratiba zao kuwa ngumu kutokana na kazi zao za kila siku, wengine wanashindwa kutokana na ugumu wa mazoezi japokuwa muda wanakuwa nao, wengine wanakuwa ni wavivu tu wa kufanya mazoezi hata yale ya kawaida kabisa, wengine hufanya kwa jitihada zote lakini bado hawapungui na wapo pia wanaojishindisha njaa ili waweze kupungua ila bado kile kidogo wanachokula bado wanaona wananenepa. Napenda kuwashauri kuwa tunapokula inatakiwa tuwe tunazingatia mlo kamili na tuweze kuangalia ni aina gani ya chakula hakihitajiki kwa asilimia kubwa mwilini kuendana na kazi tunazozifanya pamoja na umri pia. Vile vile ni muhimu kuzingatia mazoezi hata kwa muda mfupi. Ni muhimu sana kiafya mtu kuzingatia kuhusu uzito wa mwili wake kuendana na kimo chake. Madhara ya uzito/unene wa mwili ni mengi na mengine huonekana baadaye hasa umri ukiwa umesogea. Napenda sana kuwashauri ni muhimu kuzingatia hilo.
Ipo njia muhimu sana ya matumizi ya lishe inayoweza kumfanya mtu akapunguza uzito/unene huku akiendelea na shughuli zake za kila siku hata kama atakuwa anakosa muda mwingi wa kufanya mazoezi. Hii lishe inamfanya mtu awe anapungua siku hadi siku kuendana na matumizi yake yanavyozingatiwa. Imeweza kuthibitishwa kutumiwa duniani kote kwa ajili hiyo ya kuweka afya njema pia imethibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa kwa hapa Tanzania(TFDA). Wengi waliokwisha kutumia wameweza kuona umuhimu na uzuri wake. Unaweza kufuatilia maelezo muhimu kuhusu lishe husika kwa hapo chini.
MAGILIM
Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.
KAZI YA MAGILIM
CORDY ROYAL JELLY
Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps sinensis na Royal jelly.
Royal jelly Inatokana na chakula maalum cha malkia wa nyuki.
FAIDA ZA CORDY ROYAL JELLY
GOLDEN SIX
Golden Six imetokana na mimea sita(six golden herbs) inamaanisha mimea sita yenye thatmani.
Golden six inahusika na sehemu zifuatazo;
Utendaji kazi wa Golden six;
Uric acid ikiwa kwenye viungo husababisha kuumwa kwa viungo.
Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee mfano;
FAIDA ZA GOLDEN SIX
Yeyote anayehitaji msaada zaidi labda kutaka kuuliza au ushauri anaweza kunipigia kupitia namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia ishealthy@hotmail.com
Gharama za MAGILIM ni Tsh. 62500/-, CORDY ROYAL JELLY 68000/- na GOLDEN SIX 38000/-

- Seamen cassie
- Cassia bark
- Mullberry leaver
- Fago fyrum tataricum
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;
- Maji ya nyongo
- Nguvu ya mwili(glucose)
- Uric acid
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
- Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.
KAZI YA MAGILIM
- Kupunguza uzito na unene
- Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
- Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
- Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
- Kutoa sumu mwilini
- Kutoa chunusi mwilini
- Kutibu matatizo ya tumbo
CORDY ROYAL JELLY
Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps sinensis na Royal jelly.
Royal jelly Inatokana na chakula maalum cha malkia wa nyuki.
FAIDA ZA CORDY ROYAL JELLY
- Ina vitamin A,B,C,D,E na K ni chakula kilichokamilika.
- Inaondoa cholesterol
- Inaimarisha mfumo wa damu mwilini.
- Ina faty Acid
- Inaongeza nguvu na kutoa uchovu na kutoa sumu mwilini
- Inakufanya usizeeke haraka(anti aging)
- Kulainisha ngozi na kufanya ngozi kuwa nzuri
- Inafanya damu kuwa nyepesi
- Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
- Kuweka kiwango cha mafuta na cholesterol sawa.
- Mafuta yaliyoganda kuzunguka moyo na kwenye mishipa ya damu huyeyusha na kulainisha mishipa ya damu.
GOLDEN SIX
Golden Six imetokana na mimea sita(six golden herbs) inamaanisha mimea sita yenye thatmani.
Golden six inahusika na sehemu zifuatazo;
- Mishipa ya hisia
- Figo
- Kuinua kinga ya mwili na kinga ikiwa nyingi kwenye mwili inasaidia uroto kwenye mifupa(born marro), ndiyo inatengeneza cell za mwili.
- Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee.
Utendaji kazi wa Golden six;
- Golden six ina kinga kubwa kwenye mwili, ukiitumia vizuri inakwenda kusawazisha kinga kwenye mwili.
- Inarutubisha uroto kwenye mifupa nah ii hutengeneza chembechembe nyeupe za damu kwa haraka.
- Golden six inasafisha figo kwa kuipa nguvu ya kusafisha damu, kuondoa sumu mwilini kama vile uric acid.
Uric acid ikiwa kwenye viungo husababisha kuumwa kwa viungo.
- Kuhisi uchovu
- Kutokwa na jasho sana
- Kuumwa sehemu ya chini ya mgongo na pia kukosa usingizi.
Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee mfano;
- Kupoteza kumbukumbu
- Kutoona vizuri
- Misuli kukosa nguvu
- Chembechembe za mwili kufa kwa haraka
- Inajenga mishipa ya hisia na kuondoa matatizo ya kupooza
- Kwa waliopooza na kuathirika kwenye mdomo (mdomo kupinda) katika mazungumzo inawasaidia na kurekebisha mazungumzo yao.
FAIDA ZA GOLDEN SIX
- Stroke(kupooza)
- Kukosa usingizi
- Kupoteza kumbukumbu
- Kuumwa na viungo
- Kusafisha damu
- Husaidia presha ya kupanda inayosababisha mishipa kubana hii hutokana na aina Fulani ya Adrino gland ambayo hutoa kemikali, husababisha kubana kwa mishipa ya damu.
- Matatizo ya wanawake na ukomo wa wanawake