mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Huwa wanaoa wanawake wazuri sana hao jamaaSasa unene kama huo si kero tu
Hajapasuka bandama kweli!!!Katika video hii [emoji116][emoji116] iliyonishangaza raia mmoja wa India ambae ni mnene kupitiliza amejikuta ameanguka ghafla baada ya kupata shambulio la moyo hali iliyopelekea raia wema wamburuze na kumpakia kwenye guta kama kiroba cha maembe ama furushi la mahindi.
NB:itoshe kusema UNENE sio fahari.
View attachment 1850487