Unene wa mwili vs Uchafu

Unene wa mwili vs Uchafu

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya UNENE wa mwili na mtu kuwa mchafu (jasho, kutokujitawaza vizuri & kula kula ovyo). Chunguza wadada wengi wanene (hasa wenye wezere/ mzigo mkubwa) wengi wao ni wachafu kwa miili yao, nguo zao na chumbani kwake.

FUNZO: wanene jitahidini sana kujiweka katika hali ya usafi:
1. Hakikisha unaoga kila unavyopata nafasi
2. Beba lesso/handkerchief safi kwa ajili ya kujifuta jasho
3. General cleanliness chumbani kwako (punguzeni uvivu)
 
Ama hakika aisifiae mvua lazima tu itakuwa imemnyeshea. Nakuunga mkono japo kwa kiasi fulani kwani kuna hata wembamba wenye matatizo kama hayo, je, nao tusemeje juu yao? Na pia naomba kujua ya kuwa, je, sisi wanaume ktk hili umetuhusisha au umetuogopa?

Kama hatuhusiki basi waombe radhi dada, mademu, wake na mama zetu kwani umewadhalilisha kwa kiasi fulani na sijui ni kwanini vitu vingi negative sisi wanaume huwa tunapenda kuwahusisha. Jamani usiku mwema nyote.
 
Hadhalilishishwi mtu, hapa ni kuopeana elimu kwa namna moja au nyingine, uchunguzi unaonesha kwamba kuna uhusiano mkubwa tu kati ya ukubwa wa mwili, uvivu na akili, kutembea polepole na uwezo wa kufikiria....watu ambao wanatembea ama kuongea haraka haraka huwa wana uwezo wa kufikiri kwa haraka pia.

Na wale wanotembea ama kuongea taratibu pia wana uwezo mdogo wa kufikiria, hii inaweza kusaidia kuconnect kati watu wanene na uvivu au uwezo wao wa kufikiri, kumbuka kutenda pia kunahitaji kufikiria kwa haraka pia kama mtu ni mvivu wa kutenda jua pia uwezo wake wa kufikiri ni mdogo vile vile.

Kwa watu wanene kawaida pia wanakuwa na uwezo mdogo wa kufikiri kwa haraka na hapa uvivu ndio unapoanzia, mtu hawezi kutenda kwa haraka ama kuwa active kama uwezo wake wa kufikiria ni mdogo
 
mmh jamani maisha haya, usafi ni lazima vinginevyo utakufa kwa magonjwa ya ajabu
 
Hadhalilishishwi mtu, hapa ni kuopeana elimu kwa namna moja au nyingine, uchunguzi unaonesha kwamba kuna uhusiano mkubwa tu kati ya ukubwa wa mwili, uvivu na akili, kutembea polepole na uwezo wa kufikiria....watu ambao wanatembea ama kuongea haraka haraka huwa wana uwezo wa kufikiri kwa haraka pia.

Na wale wanotembea ama kuongea taratibu pia wana uwezo mdogo wa kufikiria, hii inaweza kusaidia kuconnect kati watu wanene na uvivu au uwezo wao wa kufikiri, kumbuka kutenda pia kunahitaji kufikiria kwa haraka pia kama mtu ni mvivu wa kutenda jua pia uwezo wake wa kufikiri ni mdogo vile vile.

Kwa watu wanene kawaida pia wanakuwa na uwezo mdogo wa kufikiri kwa haraka na hapa uvivu ndio unapoanzia, mtu hawezi kutenda kwa haraka ama kuwa active kama uwezo wake wa kufikiria ni mdogo

Sijawahi kusikia ----- kama huu.
Yaani Nelson Mandela alivyokuwa akizungumza kwa taratibu nae pia alikuwa na uwezo mdogo wa kufikiri?
Kuelemika sio madarasa tu!!
 
mnapenda kutuonea mimi nimnene ni msafi balaa, pia uchafu na harufu mbaya inaletwa na vitu vingingi bhana hapa hujawa wazi, kuna wembamba hutamani hata akupitie na tena kajitia lipaerfume ndiyo kabisa, hivyo sikweli ulichokisema
 
Hii ina ukweli japo umeiongelea kwa wanawake tu hata wanaume pia
Baadhi ya watu wanene ni wachafu, harufu za jasho ndo kwao....
 
Kuna wanene.wembamba wanaume kwa wanawake .msiseme kwa wanene tu tujitahidini usafi jamani du mtu ukimuona tu ata hamu ya kumsalimia inaisha.
 
Kitu kingine, kama wajiona una jasho kali kuna kitu inaitwa shabu inauzwa Kariakoo pale kwenye madaladala ya Mwenge ya mstari wa bluu, kuna maduka ya madawa ya kisuna yauzwa elfu moja nahisi.

Hiyo ni nzuri kweli, ukiitia kwenye chupa ukachanganya na maji kila ukioga wapaka kwenye makwapa yani utajishangaa jacho lote linakatika.

Na kwa wanawake hiyo shabu kuna ya jiwe na ya unga, zote zauzwa hapo. Ukipata hiyo ya unga kila ukioga unajitahidi kujisafisha kwenye papuchii yako, mwenye maswali zaidi atanitafuta.
 
Back
Top Bottom