Hadhalilishishwi mtu, hapa ni kuopeana elimu kwa namna moja au nyingine, uchunguzi unaonesha kwamba kuna uhusiano mkubwa tu kati ya ukubwa wa mwili, uvivu na akili, kutembea polepole na uwezo wa kufikiria....watu ambao wanatembea ama kuongea haraka haraka huwa wana uwezo wa kufikiri kwa haraka pia.
Na wale wanotembea ama kuongea taratibu pia wana uwezo mdogo wa kufikiria, hii inaweza kusaidia kuconnect kati watu wanene na uvivu au uwezo wao wa kufikiri, kumbuka kutenda pia kunahitaji kufikiria kwa haraka pia kama mtu ni mvivu wa kutenda jua pia uwezo wake wa kufikiri ni mdogo vile vile.
Kwa watu wanene kawaida pia wanakuwa na uwezo mdogo wa kufikiri kwa haraka na hapa uvivu ndio unapoanzia, mtu hawezi kutenda kwa haraka ama kuwa active kama uwezo wake wa kufikiria ni mdogo