Peter anapaswa asome vitabu na kutazama makala ñyingi ili apate maarifa ya kuutumia unene wake kujiingizia mkwanja na kupata umaarufu ambao pia utazidi kumpa dili za hela
Moja ya sehemu ambayo Peter anaweza kuitupia jicho ni michezo hasa ya kurusha na kunyanyua vitu vizito
Hapa kama Peter atajaribu kupafanyia kazi walau kwa 70% tu, basi atapata faida zifuatazo:
👉 Atapata aina ya mazoezi ya kumfanya awe imara na si tepwetepwe kama alivyo sasa
👉 Atapata utapata pesa kwenye michezo japo kwa hatua za awali haitakuwa pesa nyingi
👉 Kadri umaarufu wake utavyoongezeka, ndivyo atavyozidi kuvuna mkwanja na kupata dili nying za matangazo n.k
👉 Ataishi maisha yenye furaha na kuachana na habari za kuwa laboratory model wa muhimbili
👉 Atafungua fursa za michezo ya namna hiyo kwa vijana wengine wa kike na kiume
Kwa leo naishia hapa✍️