Unfinished house 4 sale

Jafar

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2006
Posts
1,136
Reaction score
54
Nyumba inauzwa:

Mahali: Yombo Buza - karibu na kituo cha kanisani
Umbali: Mita 100 kutoka barabarani
Ilivyo: Vyumba 2 na master bedroom, kitchen, sebule na stoo
Mengineyo: imepigwa bati, madirisha na grill za milango ya nyuma na mbele tayari, sewerage chambers already done.

Au kama kuna dalali wa kuweza kuiuza tuwasiliane.

Ukihitaji au kama kuna rafiki/ndugu yako anaihitaji piga simu namba 0757116618 au 0767266454
 
inauzwa bila bei? weka bei wengine hatupendi dili na madalali wenu hasa wa uswahilini
 
A serious buyer tuwasiliane
 
A serious buyer tuwasiliane

Ukiweka picha na bei unaweza convice watu wakawa seriuos buyers, maana kupata mtu ambae tayari tayari amepanga kununua nyumba inaweza kuwa ngumu ila mtu akiona bei na picha anaweza kuwa serious buyer mkuu, jiamini tu mkuu utandike picha au ndio yale yale ya 'bei, lakin 300........' nini
 
JAfar huna jipya umeombwa picha na bei weka basi alaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…