Unga kilo shilingi 2,200, Serikali iingilie kati

Kwa mavuno ya msimu huu..unga kilo utarudi hadi shilingi mia tatu.



Sent using Jamii Forums mobile app
Forget it! Demand ya mahindi na mpunga ipo juu hatari..... nchi za jirani tu zimeshaset budget ya kununua mahindi na mpunga mwaka huu. Google Kenya imetenga kiasi gani, wana hali ngumu ya uzalishaji.

Kwahiyo kama umelima mahindi au mpunga mwaka huu subiri sherehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sipendi hata kuziona hizo kitu.

Ila watu wanachukulia mambo kirahisi sana hapa jukwaani. Eti 'kula wali, kula keki, kula tambi' dahh [emoji23][emoji23].

Arusha hapa kilo ya unga 1500 hadi 1600.

Mimi nimeambiwa nitakuwa sijui kuzipika. Ila kweli tambi si chakula, ni mbaya. Na chakula kikiwa kibaya "unashiba huku una njaa".
'Kula keki'? Huyu atakuwa alikuwa anatania.

Nina mwaka na zaidi sijala ugali[emoji4][emoji4]. Ila naupenda.
 
Mimi nimeambiwa nitakuwa sijui kuzipika. Ila kweli tambi si chakula, ni mbaya. Na chakula kikiwa kibaya "unashiba huku una njaa".
'Kula keki'? Huyu atakuwa alikuwa anatania.

Nina mwaka na zaidi sijala ugali[emoji4][emoji4]. Ila naupenda.
Sasa chakula kikiwa kibaya unaanza vipi kukila? 😃

Hao wanasema watu wale keki ni wale jamaa wa Lumumba wao daily buku 7 zinaingia hawana tatizo.

Mwaka hujala ugali? Duh, mwaka huu tu sijui kama kuna siku sijala ugali. Ila kawaida kwa watoto wa kike hampendi ugali.
 

Unakula tuu ili usife.
Nimetoka ku-search "Lumumba na jamaa wa Lumumba" sijaambulia kitu.

Mimi napenda ugali kuliko tambi na wali.
 
Unakula tuu ili usife.
Nimetoka ku-search "Lumumba na jamaa wa Lumumba" sijaambulia kitu.

Mimi napenda ugali kuliko tambi na wali.
vijana wa lumumba ni vijana wa ccm (hiyo ni code ya jf),

Ukisikia Lumumba buku 7 means ni vijana wa ccm wapo humu kwa kazi maalumu ya propaganda na ujira wao ni 7000 kwa siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo nguvu kazi kubwa iko mijini inafanya kazi za kipuuzipuuzi kama vile kuendesha bodaboda, kukata viuno majukwaani, kukaanga chipsi mayai n.k. n.k.

Hii ni aibu kwa taifa na hasa pale unapoona serikali haina mkakati wa makusudi wa kujenga mazingira wezeshi ya kilimo kwa vitendo na sio maneno maneno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kalime ndugu acha kulalamika
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka wakachukue mahindi walio uza Zimbabwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…