Unga kiroba kilo 25 ni shilingi 42000

Na mvua za vuli zilikuwa chini ya kiwango kwa mikoa ya Kaskazini na ukanda wa Pwani. Bei inaweza kushuka kama kanda ya ziwa watavuna vizuri.
 
Baba alisema sitaki kusikia mkoa unali njaa, kipindi cha mama kila mkoa unalia msaada wa chakula. Ndo ujue hatari ya nyumba ikiongozwa na mama.
Kwani Mama aliwekwa na nani?
 
Tafuta hela mkuu, achana na mambo ya kulalamika bei ya unga inapanda
 
tunapiga kura kumchagua kiongozi ili aondoe hizo changamoto za bei za bidhaa mbalimbali lakini WATAWALA WA CCM WANAMAJIBU YA KIHANITHI eti tafuta hela kumbe zile kura zilikuwa za nini
 
Unamteua msaidizi dhaifu, huku ukitegemea kutawala milele! Bahati mbaya, karma inafanya kazi yake; halafu unaleta story za mtanikumbuka!!

For what!!!
Karma ni hii ambayo watz tunapitia kwa kutokumsapoti mzalendo jiwe. Msaidizi nyie si ndio mnamwambia "unaupiga mwingi"
 
Kosa limefanywa na serikali kuruhusu kuuzwa kwa mahindi nje
 
Mvua zimeanza kunyesha.
Nenda shamba ukalime 'unga wako' mwakani usije kutufokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…