Unga unammaliza KR Muller wa Wachuja Nafaka na TMK Family

Ivi tatizo ni kuiga au nimawazo ykushuka kimuziki?ila TID muuwaji jmn
 
Daah hiyo pensi nayo inamuongezea uzito pensi gani hiyo kama mtambaa wa kutolea unga kwenye mashine ya kusaga.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu nimecheka sana!!eti kitambaa cha mashine ya unga[emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu nimecheka sana!!eti kitambaa cha mashine ya unga[emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu hiyo pensi kama ya kuigizia kina joti wanavaaga wawili.
 
Yuko location anashoot video huyo, angalieni hilo pozi siyo OG.
 
huwa nawaone huruma sana vijana wanapofikia hatua hii,albadir ya kihindi..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…