Si kwa wakati huu wa singeli, ukichezea singeli linakuangusha hilo[emoji124]pensi nzuri tu sema muhusika mwenyewe
Kafanya mziki na Sugu, wengi wa bongo flava wa leo wamemkuta ktk game!KR Mullah jibaba CD120, Stress na muziki lazma upige sembe mzee
Sory mkuu kwani moja wapo ya song zake ni zipi !!Anatafuta kiki ya kutolea ngoma mpya
[emoji87] [emoji87] [emoji87]huwa nawaone huruma sana vijana wanapofikia hatua hii,albadir ya kihindi..!!!
Yap yap!!mkuu huohuo wimbo ndo nilikuwa nauhisihisi!!vip link yake unayo!!!!Dah KR Mullah Jibaba mziki CD 700 kabaki na memory ya 2kb..
Aliimba nyimbo gani mm simjui
Yani alivoenda huko kwa tid ndo alipotea kabisaaa! Na kuna cku tid aliulizwa na kina soud brown kwamba walimsikia juma nature anadai kr amepotea na kuanza kutumia unga kwa kitendo chake cha kujiunga na mtumia poda tid,je ni kweli!? Tid akajibu kwa nyodo kbao kwamba juma nature kwanza rasta zake chafu hivyo azioshe kwanza halaf waende kupima hayo madawa kati ya kr na nature nani atakutwa ana sumu mwilini!Tumuulize TID mnyama maana ndio anadai amemsaini kwenye lebo yake ya RADAR
Hahhaaa Una uhakika nilikuwa sijazaliwa??ulikuwa hujazaliwa my dear...ngoja nitakutumia
Basi hata kama ulikuwa umezaliwa, ulikuwa unatembea duka wazi bila shida kabisa😀😀Hahhaaa Una uhakika nilikuwa sijazaliwa??
hahah hii aliyoegemea gari daaa hata miwani iko upandeKama pozi za picha vile