utantambua
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,367
- 323
nyunga ndo nin jamani?
Huyu jamaa nasikia hata hela ya kupanga chumba hana analala gesti!!!!!!!!!!!!!!!
huo ni uzushi na umbeya,mnyamwezi ngwea anaishi na demu wake wa kishua,tena kwenye mjengo wa kueleweka ushuani uko.
Mulika hiyo saloon kwa afande kova
taifa la leo linateketea
ishu nyingine unapiga kimya.
ili??????
huyo mtoto wa kishua ashaachana nae kitambo alikuwa anamdundaga kinoma aitwa Michellehuo ni uzushi na umbeya,mnyamwezi Ngwea anaishi na demu wake wa kishua,tena kwenye mjengo wa kueleweka ushuani uko.