Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Nina tatizo la kuota chunusi usoni, nimeshauriwa na mtu nitumie unga wa dengu. Hii itasaidia kumaliza tatizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina tatizo la kuota chunusi usoni, nimeshauriwa na mtu nitumie unga wa dengu. Hii itasaidia kumaliza tatizo?
ukitaka kutoa chunisi usoni naomba unitafute ktk face book kwa jina la imma kullaya ntakupa njia na utafurahi
Unachanganya unga wa dengu kiasi na kiini cha yai. Paka then kaa nayo hadi uone imekauka. Kujua imekauka utaona imekakamaa usoni na inaweka kama ufa. Sugua kwa mkono kutoa halafu osha kwa maji safi na salama. Hakikisha una kitaulo special kwa ajili ya kujifutia usoni.
Inawezekana maana inakaza ngozi, kama vile ute wa mayai unavyofanya. Jaribu utuhabarishe
Sababu za wanawake kuandamwa na chunusi
[
Kitu kama sikijuwi mimi huwa sipendi kusema kuhusu Unga wa (unga wa dengu) Sijuwi mimi ndio maana nimekupa Dawa ya Vipele na chunusi mkuu unataka niseme maneno ya uongo? Mkuu.@Mtoto halali na hela Au wewe ni mtoto wa Kiume unazo chunusi?naona umeongelea upande mmoja tu.
naona umeongelea upande mmoja tu.
sawa nimekuelewa lakini Wewe ni Mume au mke? Mtoto halali na helakijinsia
kuna aina za cream na ointment zinazodeal na haya matatizo,eg Persol 2.5,persol cream etc,ni tiba njema,personally nilikuwa na tatizo kama hili nilitumia Persol 2.5 nw m doing great kwa moda mfupi,so mtafute mtaalamu wa magonjwa ya ngozi utafanikiwa ol the best,tunasubiria feedback!
asante Gilo
haya kwa kina dada na wanaume manaotaka usharabalo karibu sana