Kiziwanda chema
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 288
- 478
Kutumia jina UNGA WA DONA sidhani kama tunaenzi ufadhiri wa mabeberu, hilo jina lilikua miongoni mwa maneno ya misimu tu ambayo kwa bahati nzuri yamepata kutumika kwa muda mrefu hadi leo hii. Hilo sio tango poriNi wewe tu ndiye mpaka sasa bado unaishi kwa mazoea
Ni kweli historia inasema hivyo lakini kutokakana na kukua kwa lugha yetu neno UNGA WA DONA lina maana tofauti na ile iliyowahi tumika miaka hiyo na sioni kwanini bado tunautukuza ubeberu kwa kuwalisha watu watango pori kwamba kila tutumiapo unga wa dona bado tunaenzi ufadhiri au misaada ya nchi za kimagharibi
Aiseee hatari, ila huo mwaka sidhani kama dingi alikua na wazo au tegemeo kupata kidume kama Mimi.. I came into existence baadae sanaMleta mada 1974 kulikuwa na njaa kali sana, tulipata unga wa njano na unga wa uji wenye sukari na maziwa uliitwa bulger