M magoye01 Member Joined Aug 22, 2014 Posts 31 Reaction score 10 Nov 23, 2014 #1 Unga wa mifupa ya sangara kama chakula cha kuku na nguruwe.....hunapatika nchek kwa namba hii 0762655938
Unga wa mifupa ya sangara kama chakula cha kuku na nguruwe.....hunapatika nchek kwa namba hii 0762655938
jamii01 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 1,983 Reaction score 1,423 Nov 23, 2014 #2 mkoa gani upo?
M magoye01 Member Joined Aug 22, 2014 Posts 31 Reaction score 10 Nov 24, 2014 Thread starter #3 jamii01 said: mkoa gani upo? Click to expand... kiwanda kiko mwanza ukitaka unaletewa nko dar
M MSHERWAMPAMBA JF-Expert Member Joined May 22, 2014 Posts 341 Reaction score 120 Nov 24, 2014 #4 Kukaa kote mjini Mwanza hiyo ndio ninaisikia kwanza nilikuwa sifahamu kama kuku na Nguruwe wanalishwa unga wa mifupa ya nguruwe inamaana hata ng'ombe wetu na mbuzi na kondoo wanaweza nao wakakala huo unga wa sangara?.M/Mpamba/
Kukaa kote mjini Mwanza hiyo ndio ninaisikia kwanza nilikuwa sifahamu kama kuku na Nguruwe wanalishwa unga wa mifupa ya nguruwe inamaana hata ng'ombe wetu na mbuzi na kondoo wanaweza nao wakakala huo unga wa sangara?.M/Mpamba/
Mrigariga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2011 Posts 1,760 Reaction score 1,619 Nov 24, 2014 #6 Je mbwa inaweza kuwasaidia kiafya?