Miaka ile wakati nasoma pale karibu na redio Uhuru njia ya St Bernard Hosp nilikuwa na bibi anapika chapati za unga wa muhogo. Loh mwezi wa Ramadhan ulikuwa balaa. Kila kitu sh 500, nyama mnafu wa maana, chapati, na futari uji bure pia wa muhogo.Ila alikuwa na matusi ya kilo nyingi yule bibi.
Chapati za mihogo???
Ni chapati au unamaanisha vibalaga, ugali wa muhogo unapikwa then unasukumwa kama chapati vinakaangwa kwenye mafuta mengi kama andazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.