Unga wa muhogo

E.skillz

Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
38
Reaction score
36
Mwenye utaalam wa kutumia unga wa muhogo kutengeneza mikate plz nipe Elimu jinsi unga unavyotumika.
 
Miaka ile wakati nasoma pale karibu na redio Uhuru njia ya St Bernard Hosp nilikuwa na bibi anapika chapati za unga wa muhogo. Loh mwezi wa Ramadhan ulikuwa balaa. Kila kitu sh 500, nyama mnafu wa maana, chapati, na futari uji bure pia wa muhogo.Ila alikuwa na matusi ya kilo nyingi yule bibi.
 
Chapati za mihogo???
Ni chapati au unamaanisha vibalaga, ugali wa muhogo unapikwa then unasukumwa kama chapati vinakaangwa kwenye mafuta mengi kama andazi

Umemiss chapati au umemiss matusi? 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…