Ungamo la kishetani!!


Huu ugonjwa yaonekana ni hatari zaidi ya ebola!
 
Hapana nini?

Hutaki kusikiliza hiyo confession takatifu?

hahahahahah
Babu nimesoma hapo nikakosa la kusema..
ikabidi nicheke..

Charles Lindbergh nilifuatilia history ya huyu
jamaa dahhh ...
ina utata kweli (Upande wa mahusiano/mapenzi)


lakini huyu mkuu alikufa na siri zake ....
na dhani siri nyingine ni za kwenda nazo six feet under..

mke wake wa ndoa alifariki mwaka 2001 akiwa na miaka 94
bila kujua mume wake alikuwa na watoto saba nje ya ndoa yao..
halafu aliwazalisha mtu na dada ....... pamoja na secretary wake..

kwa hiyo alikuwa na wanawake watatu ukiacha mke wake..
 
<br />
<br />
ha ha ha ha ha duh hyo ni kal!
 

Huyo mwanamume bado yuko hai????

Inaonekana ni bonge la jinias. Kama aliweza kutunza hizo siri hadi mke wake akafariki bila kujua...anastahili medali ya dhahabu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…