Ungeambulia ngapi katika mtihani huu?

Ungeambulia ngapi katika mtihani huu?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
NIMEIKUTA MAHALI SIJUI NANI KATUNGA HII!

WATOTO WA KISHUA SECONDARY SCHOOLS.L.P 7677, MASAKI.MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA.

MAELEKEZO
.
i. Jibu maswali yote.
ii. Kila swali linabeba maksi kumi
iii. Zingatia mpangilio wa kazi.
iv. Unaruhusiwa kutumia BLOGS na MAGAZETI YA UDAKU
iv. SWALI LA TISA NI LAZIMA KUJIBU.
MUDA; Masaa matatu.

SECTION A.

1. Kwa kutumia mifano hai, elezea chanzo cha Kim Kadarshian kugombana na Kanye west.

2. Taja tofauti kuu nne kati ya MLIMANI CITY na QUALITY CENTER.

3. Kwa kutumia maeneo ya samakisamaki, Coco beach, Steers, naKunduchi beach resort elezea maanaya neno BATA.

4. Mapenzi hujengwa kati ya msichana na mvulana. Je Vipini masikioni, Kuvaa mlegezo, mwanaume kusuka na kujipaka carolight vinachangia vipi kufanya penzi lichanue? Fafanua!! Tumia mifano hai ya maboyfriend wa watoto wa kishua

5. Kwa kutumia tamthilia za MARA CLARA na zile nyingine za PROMISE na TIMELESS elezea nafasi ya mwanamke katika jamii.

SECTION B

6. Elezea sababu kuu tano za WEMA na Diamond kugombana!! Na kisha elezea mapinduzi yaliyofanywa na Jokate Mwegelo. Na je kwa nini hawakudumu

7. Inasemekana kuwa Chipsi mayai ni mojawapo ya chakula kinachowachanganya wasichana wengi na mwisho kujikuta wametoapenzi. Kwa kutumia maeneo ya Masaki na Mikocheni elezea Baga na Pizza zinavyosababisha tatizo hili.

8. Kwa kuwatumia wasanii wa Bongofleva kama Diamond na wa mtoni kama Chriss Brown elezea maana ya neno SWAGA.

9. Watoto wengi wa kishua hukimbilia kutafuta mademu wa uswazi wakidai kuwa wasichana wa geti kali hawajui lolote kitandani. Elezea kiufasaha ukitumia mifano hai kwanini wasichana wa kishua ni bomu kitandani.

10. Kwa kutumia mifano hai ya PLAYSTATION elezea ni ipi ngumu sana kucheza kati ya PS 2 na PS 3…..

NAWATAKIA MTIHANI MWEMA!!!
 
[FONT=arial
black]NIMEIKUTA MAHALI SIJUI NANI KATUNGA
HII!
[/FONT]

WATOTO WA KISHUA
SECONDARY SCHOOL
S.L.P 7677, MASAKI.MTIHANI WA KUMALIZA
MUHULA.

MAELEKEZO
.
i.
Jibu maswali yote.
ii. Kila swali linabeba maksi kumi
iii. Zingatia mpangilio wa kazi.
iv. Unaruhusiwa kutumia BLOGS na MAGAZETI YA UDAKU
iv. SWALI LA TISA NI LAZIMA KUJIBU.
MUDA; Masaa matatu.

SECTION A.

1. Kwa kutumia mifano hai, elezea
chanzo cha Kim Kadarshian kugombana na Kanye west.

2. Taja tofauti kuu nne kati ya
MLIMANI CITY na QUALITY CENTER.

3. Kwa kutumia maeneo ya
samakisamaki, Coco beach, Steers, naKunduchi beach resort elezea maanaya
neno BATA.

4. Mapenzi hujengwa kati ya msichana
na mvulana. Je Vipini masikioni, Kuvaa mlegezo, mwanaume kusuka na
kujipaka carolight vinachangia vipi kufanya penzi lichanue? Fafanua!!
Tumia mifano hai ya maboyfriend wa watoto wa
kishua

5. Kwa kutumia tamthilia za MARA
CLARA na zile nyingine za PROMISE na TIMELESS elezea nafasi ya mwanamke
katika jamii.

SECTION B

6. Elezea sababu kuu tano za WEMA na
Diamond kugombana!! Na kisha elezea mapinduzi yaliyofanywa na Jokate
Mwegelo. Na je kwa nini hawakudumu

7. Inasemekana kuwa Chipsi mayai ni
mojawapo ya chakula kinachowachanganya wasichana wengi na mwisho
kujikuta wametoapenzi. Kwa kutumia maeneo ya Masaki na Mikocheni elezea
Baga na Pizza zinavyosababisha tatizo hili.

8. Kwa kuwatumia wasanii wa
Bongofleva kama Diamond na wa mtoni kama Chriss Brown elezea maana ya
neno SWAGA.

9. Watoto wengi wa kishua hukimbilia
kutafuta mademu wa uswazi wakidai kuwa wasichana wa geti kali hawajui
lolote kitandani. Elezea kiufasaha ukitumia mifano hai kwanini wasichana
wa kishua ni bomu kitandani.

10. Kwa kutumia mifano hai ya
PLAYSTATION elezea ni ipi ngumu sana kucheza kati ya PS 2 na PS 3…..

NAWATAKIA MTIHANI
MWEMA!!!

hahahahahahaaa dah me ninge score 0%
 
NIMEIKUTA MAHALI SIJUI NANI KATUNGA HII!

WATOTO WA KISHUA SECONDARY SCHOOLS.L.P 7677, MASAKI.MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA.

MAELEKEZO
.
i. Jibu maswali yote.
ii. Kila swali linabeba maksi kumi
iii. Zingatia mpangilio wa kazi.
iv. Unaruhusiwa kutumia BLOGS na MAGAZETI YA UDAKU
iv. SWALI LA TISA NI LAZIMA KUJIBU.
MUDA; Masaa matatu.

SECTION A.

1. Kwa kutumia mifano hai, elezea chanzo cha Kim Kadarshian kugombana na Kanye west.

2. Taja tofauti kuu nne kati ya MLIMANI CITY na QUALITY CENTER.

3. Kwa kutumia maeneo ya samakisamaki, Coco beach, Steers, naKunduchi beach resort elezea maanaya neno BATA.

4. Mapenzi hujengwa kati ya msichana na mvulana. Je Vipini masikioni, Kuvaa mlegezo, mwanaume kusuka na kujipaka carolight vinachangia vipi kufanya penzi lichanue? Fafanua!! Tumia mifano hai ya maboyfriend wa watoto wa kishua

5. Kwa kutumia tamthilia za MARA CLARA na zile nyingine za PROMISE na TIMELESS elezea nafasi ya mwanamke katika jamii.

SECTION B

6. Elezea sababu kuu tano za WEMA na Diamond kugombana!! Na kisha elezea mapinduzi yaliyofanywa na Jokate Mwegelo. Na je kwa nini hawakudumu

7. Inasemekana kuwa Chipsi mayai ni mojawapo ya chakula kinachowachanganya wasichana wengi na mwisho kujikuta wametoapenzi. Kwa kutumia maeneo ya Masaki na Mikocheni elezea Baga na Pizza zinavyosababisha tatizo hili.

8. Kwa kuwatumia wasanii wa Bongofleva kama Diamond na wa mtoni kama Chriss Brown elezea maana ya neno SWAGA.

9. Watoto wengi wa kishua hukimbilia kutafuta mademu wa uswazi wakidai kuwa wasichana wa geti kali hawajui lolote kitandani. Elezea kiufasaha ukitumia mifano hai kwanini wasichana wa kishua ni bomu kitandani.

10. Kwa kutumia mifano hai ya PLAYSTATION elezea ni ipi ngumu sana kucheza kati ya PS 2 na PS 3…..

NAWATAKIA MTIHANI MWEMA!!!
Ni dhahiri kabisa hii pepa imetungwa na n.y.e.c (National Youth Examination Council). Watahiniwa wengi wangepata alama kati ya 60 na 95 kwa mia.Hii pepa ni ya somo linaloitwa Celebrity and Bongofleva Awareness
 
Mbona hawajaj kujibu huo mtihani wangu?
 
Mzeee leo naona umekosa kabisa usingizi. vipi dengue imeshakwisha? MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom