Ungechagua yupi kati ya hawa?

Ungechagua yupi kati ya hawa?

lapesam

Member
Joined
Apr 6, 2024
Posts
23
Reaction score
29
Natanguliza salamu kweny wanaJF.

Nipo kwenye wakati mgumu mno kwenye maisha yangu kwani maamuzi yangu ndio yataamua future yangu. Nilikuwa na boyfriend wa tangu chuo, kwa miaka miwili na miezi kadhaa tumekuwa wote.

Tumepitia ups and downs nyingi lakini siku zote tunasameheanaga kwa sababu tumekuwa watu wa malengo na kuogopa sana mahusiano mapya, hivyo mara zote hata tugombane vipi lazima tuje kusolve.

Binafsi ni muaminifu sana na hata ex bf wangu pia sio mtu wa wanawake kabisa maana nina access na simu yake muda wowote na miaka yote hiyo sijawahi kuona kiashiria chochote. Kuhusu suala la afya, tumekuwa very careful na tuna tradition ya kupima every after 3 months or anytime mtu akisuggest.

Mwishoni mwa mwaka Jana tulikuwa tunagombana sana kwa issues tofauti tofauti (sio usaliti) ikapelekea kukaliana kimya kwa miezi.

Mimi nikakutana na jamaa mwingine maana nilishaona mahusiano na mwenzangu yameisha na nimejitahidi sana kusolve ila hakuna solution.

Jamaa niliyemeet naye ni older kwangu kwa miaka michache (hajafika 35), very matured na anataka sana serious relationship.

Tukapima na kuanza relationship, in one month jamaa akanitambulisha in his family na anataka kuja kwetu kujitambulisha.

Jamaa anaplay roles zote kama mwanaume, kuanzia kodi, chakula na kila kitu. Anasali sana na anataka sana kuoa na kuwa na familia.

My ex-boyfriend tuliyekuwa tumekaliana kimya kwa miezi minne ananicheck, akitaka turudiane. Kiukweli nampenda kwa sababu tumetoka mbali lakini kinachonifanya niwe dilemma ni kwamba ex-boyfriend hajawahi kunitambulisha kwao, hata kwa ndugu zake na anasema kila kitu ni process, akiwa financially stable atanipeleka. Kuhusu maokoto kiukweli hana ila ni vile tu nina historia naye ndefu ya tangu skuli.

Ungekuwa wewe ungeamuaje? Ungechagua mwanaume unayempenda ila bado hana pesa na hajakutambulisha kwao? Au ungechagua mwanaume anayekupenda na anakuhudumia na yuko tayari kwa familia na ameshakutambulisha kwao?
 
Usikute huyo X wako anataka kurudi kwako kwa Wivu tu au ni vile kakumbuka miguno na mikunjo ya samaki changu mkiwa kitandani, ila hana upendo wala nia ya kukuoa kwa Sasa na wewe una undergo deformation Kila siku. We jichanganye msela nae akuteme
 
Kwanza ungeanza kwa kuamkia wakubwa, na baada ya hapo sina ninachoweza kusahuri binti mpumbavu kama wewe...😠
Yaani huo mwili bora ungebeba kichwa cha mbuzi kuliko makosa yalio fanyika ikabeba mtu.
Alaf skiliza......
Kwanza nitakutandika viboko hadi usahau hiyo historia yako na huyo mvulana... bladi hell....🤨
 
Kuhusu maokoto kiukweli hana ila ni vile tu nina historia naye ndefu ya tangu skuli.

Ungekuwa wewe ungeamuaje? Ungechagua mwanaume unayempenda ila bado hana pesa na hajakutambulisha kwao? Au ungechagua mwanaume anayekupenda na anakuhudumia na yuko tayari kwa familia na ameshakutambulisha kwao?
Hapa Natafuta Ajira kuchukua points 6 home & away mamamae Wanawake konyo kabisa bora tuendelee kuwanunua tu, tutaendelea kuwanunua tunawatumia utamu ukiisha tunaenda kununua wengine ambao hawajaisha utamu

Jamaa anamwaga noti akishakubetua ukawa na titi ndala hakuangalii mara 2 anasaka mwingine asie na titi ndala anamlipa anaendelea kujilia mema ya Dunia acha tuwanunue na tutawanunua na tunawanunua ndio maana kishika uchumba kinaambatana na Pesa Mahari ni Pesa yaani ni mwendo wa kuwanunua tu
 
Back
Top Bottom