Ungechagua yupi kati ya hawa?

Sukari mtaenda kuchukua kwa jirani...

Olewa nahuyo anaekuhudumia alafu hako ka ex kafanye kamchepuko nimgawanyo tu wamajukum unakwama wap?
 
Ee Mwenyezi Mungu nisamehe kwa kusoma huu uzi wa kipumbavu ambao una ladha mbaya ya chai isiyo na sukari. Amen
Watu mnafurahisha kweli. Kama vile wewe ni malaika. Kila mtu ana ukurasa wake ambao asingependa kuusoma kwa sauti hivyo usijifanye mtakatifu au mwerevu sana.
 
Jamaa mpya sio kwamba ni tajiri, ni anatoa kama mwanaume anavyotoa kwa mpenzi wake. Ex tulikaliana kimya kwa miezi kadhaa ila ni mtu tuna miaka kadhaa kwenye mahusiano. Vaa viatu vyangu halafu toa ushauri.
Huyo x smekwambia anatak kukuoa?
 
Wewe ni mpumbavu mno. Yote uliyoandika ni ushenzi. Hata ukiolewa utaendelea kuwa na tabia za usaliti. Wewe unatakiwa uwe single mama.
 
Wewe ni mpumbavu mno. Yote uliyoandika ni ushenzi. Hata ukiolewa utaendelea kuwa na tabia za usaliti. Wewe unatakiwa uwe single mama.
Sawa nashukuru. La nyongeza? Halafu sikujua kama kuwa single mama ni tusi pia aiseee
 
Jamaa mpya sio kwamba ni tajiri, ni anatoa kama mwanaume anavyotoa kwa mpenzi wake. Ex tulikaliana kimya kwa miezi kadhaa ila ni mtu tuna miaka kadhaa kwenye mahusiano. Vaa viatu vyangu halafu toa ushauri.
Yupi unampenda kati ya hao??
 
Yupi unampenda kati ya hao??
Kiukweli nampenda ex (ingawa ana drama nyingi, kununa kwingi na bado anajitafuta). Huyu wa sasa imebidi niwe naye kwa sababu sipendi kuwa single na kiukweli ni responsible sana. Ila moyo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…