umepokea toka kwa nani? Tuwekee source plzNimepokea kwamasikitiko habari ya kutupwa pingamizi lilokuwa limewekwa na Cahama cha Chadema dhidi ya mombea wa ccm Rais jakaya Kikwete!
Kutokana na makosa yaliyofanywa na CCM!Hapo ndo unapoona kwamba uwanja wa demokrasia haupo na wala si mpana kama inavyotangazwa!!
Turudi kwa Mweshimiwa Tendwa mimi nimemuonea huruma maana alipewa kaa la moto alikumbatie kulipeleka kwa jirani hivyo alitakiwa kuhakikisha linafika hakuwa na jinsi yoyote!!wewe chukulia niwewe umepewa jukumu hilo ungefanya nini??tafakari natoa jibu hapa na tusiongelee unazi au ushabiki na uzingatie Demokrasia ya Afrika,Tanzania!!:A S check_03:
Kwako wewe ingekuwa maamuzi mazuri tu kama chadema wakishinda hata kama madai hayana msingiNimepokea kwamasikitiko habari ya kutupwa pingamizi lilokuwa limewekwa na Cahama cha Chadema dhidi ya mombea wa ccm Rais jakaya Kikwete!