ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ni watu wachache ambao imewabidi kazi yao wanayofanya Kwa sasa waikubali tu Kwa sababu walijikuta wamesema vyuoni na inawapa Hela na ukizingatia uchache wa ajira ila wengi Kiukweli baada ya kumaliza form 4 hawakuwa na akili kama waliyonayo Kwa sasa.
Binafsi ungenirudisha Tena form four 2012 na nikafaulu vilevile vizuri halafu ndo unipe nifanye maamuzi Kwa akili ya utambuzi ya sasa iliyojifunza maarifa mengi Duniani basi nisingeumiza kichwa ningeenda zangu kusomea ufundi hasa mechanics kisha ningeingia jeshini Kwa maana uwezo wa kusomeshwa ufundi ulikuwepo na vilevile connection za kuingizwa jeshini zilikuwepo. Mimi nikajikuta nataka niwe sijui dokta Mara pilot nikajichanganya six, Mara chuo unachosomea huko ni fan ingine kabisa na miaka inaenda unajikuta vigezo vya kuingia jeshini huna Tena umri umeenda kumbe ungepigaga makozi ya kibabe ukafight uingie jeshini na matokeo mazuri cheo kupanda ni fasta tu.